Jeremiah 48:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nitamfutilia mbali kila mtu katika Moabu ambaye anatambikia vilimani na kumfukizia ubani mungu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakomesha wote katika Moabu watoao sadaka mahali pa juu pa kuabudia, na kufukiza uvumba kwa miungu yao,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na hayo, asema Bwana, nitamkomesha katika Moabu mtu atoaye sadaka katika mahali pa juu, naye awafukiziaye uvumba miungu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nitamfutilia mbali kila mtu katika Moabu ambaye anatambikia vilimani na kumfukizia ubani mungu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika Moabu nitakomesha wale wote watoao sadaka mahali pa juu pa kuabudia miungu, na kufukiza uvumba kwa miungu yao,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakomesha wale wote katika Moabu watoao sadaka mahali pa juu, na kufukiza uvumba kwa miungu yao,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na hayo, asema BWANA, nitamkomesha katika Moabu mtu atoaye sadaka katika mahali pa juu, naye awafukiziaye uvumba miungu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nitamfutilia mbali kila mtu katika Moabu ambaye anatambikia vilimani na kumfukizia ubani mungu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Nitawakomesha Wamoabu, wasipande vilimani kuivukizia miungu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na hayo, asema BWANA, nitamkomesha katika Moabu mtu atoaye sadaka katika mahali pa juu, naye awafukiziaye uvumba miungu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nitamuteketeza kila mutu katika Moabu ambaye anatambikia juu ya vilima na kumufukizia mungu wake ubani. –Ni ujumbe wa Yawe.