Jeremiah 48:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu amenyoa upara na ndevu zake. Wote wamejikatakata mikononi na viunoni wamevaa mavazi ya gunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kichwa kimenyolewa na kila mwenye ndevu zimekatwa; kila mkono umekatwa na kila kiuno kimevalishwa gunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kila kichwa kina upaa, na ndevu zote zimenyolewa; mikono yote ina alama za chale, na viuno vyote vimevikwa nguo za magunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu amenyoa upara na ndevu zake. Wote wamejikatakata mikononi na viunoni wamevaa mavazi ya gunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kichwa kimenyolewa na kila mwenye ndevu zimekatwa; kila mkono umekatwa na kila kiuno kimefunikwa kwa nguo ya gunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kichwa kimenyolewa na kila mwenye ndevu zimekatwa; kila mkono umekatwa na kila kiuno kimefunikwa kwa nguo ya gunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kila kichwa kina upara, na ndevu zote zimenyolewa; mikono yote ina alama za chale, na viuno vyote vimevikwa nguo za magunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu amenyoa upara na ndevu zake. Wote wamejikatakata mikononi na viunoni wamevaa mavazi ya gunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani vichwa vyote vitakuwa vyenye vipara, nazo ndevu zote zitakuwa zimenyolewa, nayo mikono yote itakuwa yenye chale, navyo viuno vyote vitakuwa na magunia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kila kichwa kina upaa, na ndevu zote zimenyolewa; mikono yote ina alama za chale, na viuno vyote vimevikwa nguo za magunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu amenyoa kichwa na ndevu zake. Wote wamejikatakata kwenye mikono na kwenye viuno wamevaa gunia.