Jeremiah 48:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama alivyovunjika! Tazama wanavyoomboleza! Ajabu jinsi Moabu alivyorudi nyuma kwa aibu! Moabu amekuwa kichekesho na kioja kwa jirani zake wote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama jinsi alivyovunjikavunjika! Jinsi wanavyolia kwa huzuni! Tazama jinsi Moabu anavyogeuka kwa aibu! Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa, kitu cha kutisha kwa wale wote wanaomzunguka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi alivyovunjika! Pigeni yowe! Jinsi Moabu alivyogeuza kisogo kwa haya! Hivyo ndivyo Moabu atakavyokuwa dhihaka, na sababu ya kuwashangaza watu wote wamzungukao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama alivyovunjika! Tazama wanavyoomboleza! Ajabu jinsi Moabu alivyorudi nyuma kwa aibu! Moabu amekuwa kichekesho na kioja kwa jirani zake wote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama jinsi alivyovunjikavunjika! Jinsi wanavyolia kwa huzuni! Tazama jinsi Moabu anavyogeuka kwa aibu! Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa, kitu cha kutisha kwa wale wote wanaomzunguka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama jinsi alivyovunjikavunjika! Jinsi wanavyolia kwa huzuni! Tazama jinsi Moabu anavyogeuka kwa aibu! Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa, kitu cha kutisha kwa wale wote wanaomzunguka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi alivyovunjika! Ombolezeni! Jinsi Moabu alivyogeuza kisogo kwa haya! Hivyo ndivyo Moabu atakavyokuwa dhihaka, na sababu ya kuwashangaza watu wote wamzungukao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama alivyovunjika! Tazama wanavyoomboleza! Ajabu jinsi Moabu alivyorudi nyuma kwa aibu! Moabu amekuwa kichekesho na kioja kwa jirani zake wote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe wamevunjika! Pigeni vilio! Kumbe Wamoabu wamezigeuza kosi zao kwa soni! Tangu hapo Wamoabu watakuwa kicheko na kitisho kwao wote wakaao na kuwazunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi alivyovunjika! Pigeni yowe! Jinsi Moabu alivyogeuza kisogo kwa haya! Hivyo ndivyo Moabu atakavyokuwa dhihaka, na sababu ya kuwashangaza watu wote wamzungukao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia jinsi alivyovunjika! Angalia jinsi wanavyoomboleza! Ni ajabu jinsi Moabu alivyorudi nyuma juu ya haya! Moabu amekuwa kitu cha kuchekesha na kitisho kwa jirani zake wote.