Jeremiah 48:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moabu tayari imeangamizwa kilio chake chasikika mpaka Soari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moabu umeharibika; Wadogo wake wamewasikiza watu kilio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moabu tayari imeangamizwa kilio chake chasikika mpaka Soari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moabu utavunjwa, wadogo wake watapiga kelele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moabu umeharibika; Wadogo wake wamelia kwa sauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moabu tayari imeangamizwa kilio chake chasikika mpaka Soari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamoabu wamevunjika, vilio vinasikilika hata Soari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moabu umeharibika; Wadogo wake wamewasikiza watu kilio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moabu imekwisha kuangamizwa, kilio chake kinasikilika mpaka Zoari.