Jeremiah 48:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazama, taifa litaruka kasi kuivamia Moabu, kama tai aliyekunjua mabawa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “Tazama! Tai anashuka chini, akitanda mabawa yake juu ya Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana asema hivi, Tazama, ataruka kama tai, na kutandaza mabawa yake juu ya Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazama, taifa litaruka kasi kuivamia Moabu, kama tai aliyekunjua mabawa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo asemalo BWANA: “Tazama! Tai anashuka chini, akitanda mbawa zake juu ya Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo asemalo bwana: “Tazama! Tai anashuka chini, akitanda mabawa yake juu ya Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA asema hivi, Tazama, ataruka kama tai, na kutandaza mabawa yake juu ya Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Tazama, taifa litaruka kasi kuivamia Moabu, kama tai aliyekunjua mabawa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Tazameni, anawarukia Wamoabu kama kozi na kuwakunjulia mabawa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA asema hivi, Tazama, ataruka kama tai, na kutandaza mabawa yake juu ya Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Taifa litaruka mbio juu ya Moabu, kama tai aliyekunjua mabawa yake.