Jeremiah 48:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamoabu wataangamizwa, wasiwe tena taifa, kwa sababu walijikweza dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moabu ataangamizwa kama taifa kwa sababu amemdharau Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Moabu ataangamizwa, asiwe taifa tena, kwa sababu alijitukuza juu ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamoabu wataangamizwa, wasiwe tena taifa, kwa sababu walijikweza dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moabu ataangamizwa kama taifa kwa sababu amemdharau BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moabu ataangamizwa kama taifa kwa sababu amemdharau bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Moabu ataangamizwa, asiwe taifa tena, kwa sababu alijitukuza juu ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamoabu wataangamizwa, wasiwe tena taifa, kwa sababu walijikweza dhidi ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamoabu wataangamizwa, wasiwe taifa tena, kwa kuwa wamejikuza kuliko Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Moabu ataangamizwa, asiwe taifa tena, kwa sababu alijitukuza juu ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoabu wataangamizwa, hata hawatakuwa tena taifa, kwa sababu walijitukuza mbele ya Yawe.