Jeremiah 48:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitisho, mashimo na mtego, vinawasubiri enyi watu wa Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, enyi watu wa Moabu,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hofu, na shimo, na mtego, zaja juu yako, Ee mwenyeji wa Moabu, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitisho, mashimo na mtego, vinawasubiri enyi watu wa Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hofu kuu, shimo na mtego unawangojea, Enyi watu wa Moabu,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, enyi watu wa Moabu,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hofu, na shimo, na mtego, zaja juu yako, Ee mwenyeji wa Moabu, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitisho, mashimo na mtego, vinawasubiri enyi watu wa Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mastuko na miina na matanzi yatawapata ninyi mkaao Moabu; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hofu, na shimo, na mtego, zaja juu yako, Ee mwenyeji wa Moabu, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitisho, mashimo na mutego, vinawangojea enyi watu wa Moabu. –Ni ujumbe wa Yawe.