Jeremiah 48:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakimbizi wachovu wanatua Heshboni kutaka usalama, maana moto umezuka huko mjini; mwali wa moto toka ikulu ya mfalme Sihoni; umeteketeza mipaka ya Moabu, umeunguza milima yao hao watukutu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika kivuli cha Heshboni, wakimbizi wamesimama pasipo msaada, kwa kuwa moto umezimika huko Heshboni, Mwali wa moto kutoka katikati ya Sihoni; unaunguza paji za nyuso za Wamoabu, mafuvu ya wanaojivuna kwa kelele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamekimbia, wasio na nguvu Wanasimama chini ya kivuli cha Heshboni; Ila moto umetoka katika Heshboni, Na mwali wa moto toka kati ya Sihoni Nao umekula pembe ya Moabu, Na utosi wa kichwa wa watu wapigao kelele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakimbizi wachovu wanatua Heshboni kutaka usalama, maana moto umezuka huko mjini; mwali wa moto toka ikulu ya mfalme Sihoni; umeteketeza mipaka ya Moabu, umeunguza milima yao hao watukutu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika kivuli cha Heshboni, wakimbizi wamesimama pasipo msaada, kwa kuwa moto umezimika huko Heshboni, mwali wa moto kutoka katikati ya Sihoni; unaunguza vipaji vya nyuso za Moabu, mafuvu yao wenye kujivuna kwa kelele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika kivuli cha Heshboni, wakimbizi wamesimama pasipo msaada, kwa kuwa moto umezimika huko Heshboni, mwali wa moto kutoka katikati ya Sihoni; unaunguza vipaji vya nyuso za Moabu, mafuvu yao wenye kujivuna kwa kelele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamekimbia, wasio na nguvu Wanasimama chini ya kivuli cha Heshboni; Ila moto umetoka katika Heshboni, Na muali wa moto toka kati ya Sihoni Nao umekula pembe ya Moabu, Na utosi wa kichwa wa watu wapigao kelele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakimbizi wachovu wanatua Heshboni kutaka usalama, maana moto umezuka huko mjini; mwali wa moto toka ikulu ya mfalme Sihoni; umeteketeza mipaka ya Moabu, umeunguza milima yao hao watukutu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoro wakisimama kivulini kwenye Hesiboni kwa kuishiwa nguvu, moto utatoka Hesiboni namo Sihoni kati, moto uwakao sana utatoka, utavila vipanja vya Wamoabu nazo tosi zao wapigao vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamekimbia, wasio na nguvu Wanasimama chini ya kivuli cha Heshboni; Ila moto umetoka katika Heshboni, Na mwali wa moto toka kati ya Sihoni Nao umekula pembe ya Moabu, Na utosi wa kichwa wa watu wapigao kelele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakimbizi wanaochoka wanasimama chini ya kivuli cha Hesiboni. Moto umewaka huko katika muji; ulimi wa moto toka nyumba ya kifalme ya Sihoni; umeteketeza mipaka ya Moabu, umeunguza milima ya hao wanaopiga kelele.