Jeremiah 48:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini siku zijazo nitamstawisha tena Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Hii ndiyo hukumu juu ya Moabu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini nitarudisha mateka wa Moabu, katika siku zijazo,” asema Mwenyezi Mungu. Huu ndio mwisho wa hukumu ya Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nitawarudisha watu wa Moabu walio utumwani, siku za mwisho, asema Bwana. Hukumu ya Moabu imefikilia hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini siku zijazo nitamstawisha tena Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Hii ndiyo hukumu juu ya Moabu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini nitarudisha mateka wa Moabu, katika siku zijazo,” asema BWANA. Huu ndio mwisho wa hukumu juu ya Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini nitarudisha mateka wa Moabu, katika siku zijazo,” asema bwana. Huu ndio mwisho wa hukumu juu ya Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nitawarudisha watu wa Moabu walio utumwani, siku za mwisho, asema BWANA. Hukumu ya Moabu imefikia hapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini siku zijazo nitamstawisha tena Moabu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Hii ndiyo hukumu juu ya Moabu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitayafungua mafungo ya Moabu, siku zitakapotimia; ndivyo, asemavyo Bwana. Mpaka hapa ni hukumu za Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nitawarudisha watu wa Moabu walio utumwani, siku za mwisho, asema BWANA. Hukumu ya Moabu imefikilia hapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini katika siku zinazokuja nitawarudisha tena Moabu katika hali yao. –Ni ujumbe wa Yawe. Hii ndiyo hukumu juu ya Moabu.