Jeremiah 48:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Moabu, ulitumainia ngome na hazina zako, lakini sasa wewe pia utatekwa; mungu wako Kemoshi atapelekwa uhamishoni pamoja na makuhani na watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali yenu, ninyi pia mtachukuliwa mateka, naye Kemoshi ataenda uhamishoni, pamoja na makuhani wake na maafisa wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, kwa kuwa umeyatumainia matendo yako, na hazina zako, wewe nawe utatwaliwa; na Kemoshi atatoka aende katika uhamisho, makuhani wake na wakuu wake pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Moabu, ulitumainia ngome na hazina zako, lakini sasa wewe pia utatekwa; mungu wako Kemoshi atapelekwa uhamishoni pamoja na makuhani na watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu, ninyi pia mtachukuliwa mateka, naye Kemoshi atakwenda uhamishoni, pamoja na makuhani wake na maafisa wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu, ninyi pia mtachukuliwa mateka, naye Kemoshi atakwenda uhamishoni, pamoja na makuhani wake na maafisa wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, kwa kuwa umeyatumainia matendo yako, na hazina zako, wewe nawe utatwaliwa; na Kemoshi atatoka aende katika uhamisho, makuhani wake na wakuu wake pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Moabu, ulitumainia ngome na hazina zako, lakini sasa wewe pia utatekwa; mungu wako Kemoshi atapelekwa uhamishoni pamoja na makuhani na watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa unayaegemea matendo yako na vilimbiko vyako, wewe nawe utatekwa, naye Kemosi hana budi kwenda kuhamishwa pamoja na watambikaji wake na wakuu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, kwa kuwa umeyatumainia matendo yako, na hazina zako, wewe nawe utatwaliwa; na Kemoshi atatoka aende katika uhamisho, makuhani wake na wakuu wake pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moabu, ulitumainia matendo yako na hazina zako, lakini sasa wewe vilevile utatekwa; mungu wako Kemosi atapelekwa katika uhamisho pamoja na makuhani na watumishi wake.