Jeremiah 48:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwangamizi atapita katika kila mji, hakuna mji utakaomwepa; kila kitu mabondeni kitaangamia nyanda za juu zitaharibiwa, kama alivyosema Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwangamizi atakuja dhidi ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka. Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amesema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mwenye kuteka nyara atakuja juu ya kila mji, wala hapana mji utakaookoka; bonde nalo litaangamia, nayo nchi tambarare itaharibiwa; kama Bwana alivyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwangamizi atapita katika kila mji, hakuna mji utakaomwepa; kila kitu mabondeni kitaangamia nyanda za juu zitaharibiwa, kama alivyosema Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mharabu atakuja dhidi ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka. Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, kwa sababu BWANA amesema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mharabu atakuja dhidi ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka. Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, kwa sababu bwana amesema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mwenye kuteka nyara atakuja juu ya kila mji, wala hakuna mji utakaookoka; bonde nalo litaangamia, nayo nchi tambarare itaharibiwa; kama BWANA alivyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwangamizi atapita katika kila mji, hakuna mji utakaomwepa; kila kitu mabondeni kitaangamia nyanda za juu zitaharibiwa, kama alivyosema Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwangamizaji ataujia kila mji, hakuna mji utakaopona, penye bonde pataangamia, napo penye mbuga pataharibika, kama Bwana alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mwenye kuteka nyara atakuja juu ya kila mji, wala hapana mji utakaookoka; bonde nalo litaangamia, nayo nchi tambarare itaharibiwa; kama BWANA alivyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwangamizaji atapita katika kila muji, hakuna muji utakaomwepuka; mabonde yataangamia, nafasi zenye kunyooka zitaharibiwa, kama vile Yawe alivyosema.