Jeremiah 48:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchimbieni Moabu kaburi, maana kuangamia kwake ni hakika; miji yake itakuwa tupu, bila mkazi hata mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wekeni chumvi kwa ajili ya Moabu, kwa kuwa ataangamizwa; miji yake itakuwa ukiwa, hakutakuwa na mtu atakayeishi ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpe Moabu mabawa, apate kuruka na kwenda zake; na miji yake itakuwa ukiwa, isiwe na mtu wa kukaa ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchimbieni Moabu kaburi, maana kuangamia kwake ni hakika; miji yake itakuwa tupu, bila mkazi hata mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wekeni chumvi kwa ajili ya Moabu, kwa kuwa ataangamizwa; miji yake itakuwa ukiwa, pasipo kuwa na mtu atakayeishi ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wekeni chumvi kwa ajili ya Moabu, kwa kuwa ataangamizwa; miji yake itakuwa ukiwa, pasipo kuwa na mtu atakayeishi ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpe Moabu mabawa, apate kuruka na kwenda zake; na miji yake itakuwa ukiwa, isiwe na mtu wa kukaa ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchimbieni Moabu kaburi, maana kuangamia kwake ni hakika; miji yake itakuwa tupu, bila mkazi hata mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapeni Wamoabu mabawa, watoke na kuruka! Kwani miji yao itakuwa mapori, msikae mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpe Moabu mabawa, apate kuruka na kwenda zake; na miji yake itakuwa ukiwa, isiwe na mtu wa kukaa ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchimbie Moabu kaburi, maana kuangamia kwake ni hakika; miji yake itakuwa tupu, bila mukaaji hata mumoja.