Jeremiah 49:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nimemnyanganya Esau kila kitu, naam, nimeyafunua maficho yake, wala hawezi kujificha tena. Watoto, ndugu na jirani zake wameangamizwa; hakuna hata mmoja aliyebaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi, nitayafunua maficho yake, ili asiweze kujificha. Watoto wake, jamaa na majirani wataangamia, naye hatakuwepo tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nimemwacha Esau hana kitu, nimepafunua mahali pake pa siri, wala hataweza kujificha; kizazi chake kimeangamizwa, na ndugu zake, na jirani zake, naye mwenyewe hayuko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nimemnyang'anya Esau kila kitu, naam, nimeyafunua maficho yake, wala hawezi kujificha tena. Watoto, ndugu na jirani zake wameangamizwa; hakuna hata mmoja aliyebaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi, nitayafunua maficho yake, ili asiweze kujificha. Watoto wake, jamaa na majirani wataangamia, naye hatakuwepo tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi, nitayafunua maficho yake, ili asiweze kujificha. Watoto wake, jamaa na majirani wataangamia, naye hatakuwepo tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nimemwacha akiwa hana kitu Esau, nimepafunua mahali pake pa siri, wala hataweza kujificha; kizazi chake kimeangamizwa, na ndugu zake, na jirani zake, naye mwenyewe hayuko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nimemnyanganya Esau kila kitu, naam, nimeyafunua maficho yake, wala hawezi kujificha tena. Watoto, ndugu na jirani zake wameangamizwa; hakuna hata mmoja aliyebaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi nimemvumbua Esau, nikayafunua maficho yake, asiweze kujificha tena. Kizazi chake kumeharibiwa pamoja na ndugu zake, nao waliokaa nao hawako kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nimemwacha Esau hana kitu, nimepafunua mahali pake pa siri, wala hataweza kujificha; kizazi chake kimeangamizwa, na ndugu zake, na jirani zake, naye mwenyewe hayuko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nimemunyanganya Esau kila kitu, nimeyafunua maficho yake, wala hawezi kujificha tena. Watoto, wandugu na jirani zake wameangamizwa; hakuna hata mumoja aliyebaki.