Jeremiah 49:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niachieni watoto wenu yatima nami nitawatunza; waacheni wajane wenu wanitegemee.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao. Wajane wako pia wanaweza kunitumaini mimi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waache watoto wako wasio na baba, mimi nitawahifadhi hai, na wajane wako na wanitumaini mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niachieni watoto wenu yatima nami nitawatunza; waacheni wajane wenu wanitegemee.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao. Wajane wako pia wanaweza kunitumaini mimi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao. Wajane wako pia wanaweza kunitumaini mimi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waache watoto wako wasio na baba, mimi nitawahifadhi hai, na wajane wako na wanitumaini mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niachieni watoto wenu yatima nami nitawatunza; waacheni wajane wenu wanitegemee.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waacheni watoto wenu waliofiwa na wazazi! Mimi nitawatunza; nao wajane wenu na waniegemee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waache watoto wako wasio na baba, mimi nitawahifadhi hai, na wajane wako na wanitumaini mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muniachie watoto wenu wayatima nami nitawatunza; muwaache wajane wenu wanitegemee.