Jeremiah 49:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimepata habari kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, mjumbe ametumwa ayatangazie mataifa: “Jikusanyeni pamoja dhidi ya Edomu; inukeni mwende kuushambulia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimesikia ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu: Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, “Jikusanyeni ili kuushambulia! Inukeni kwa ajili ya vita!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimepata habari kwa Bwana, Na mjumbe ametumwa kati ya mataifa, Akisema, Jikusanyeni, mkaujie, Mkainuke kwenda vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimepata habari kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, mjumbe ametumwa ayatangazie mataifa: “Jikusanyeni pamoja dhidi ya Edomu; inukeni mwende kuushambulia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimesikia ujumbe kutoka kwa BWANA: Mjumbe ametumwa kwa mataifa kusema, “Jikusanyeni ili kuushambulia! Inukeni kwa ajili ya vita!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimesikia ujumbe kutoka kwa bwana: Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, “Jikusanyeni ili kuushambulia! Inukeni kwa ajili ya vita!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimepata habari kwa BWANA, Na mjumbe ametumwa kati ya mataifa, Akisema, Jikusanyeni, mkaujie, Mkainuke kwenda vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimepata habari kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, mjumbe ametumwa ayatangazie mataifa: “Jikusanyeni pamoja dhidi ya Edomu; inukeni mwende kuushambulia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimesikia mbiu kwake Bwana, mjumbe ametumwa kwenda kwa mataifa kwamba: Jikusanyeni, mwujie! Ondokeni kwenda vitani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimepata habari kwa BWANA, Na mjumbe ametumwa kati ya mataifa, Akisema, Jikusanyeni, mkaujie, Mkainuke kwenda vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimepata habari kutoka kwa Yawe, na mujumbe ametumwa ayatangazie mataifa: Mujikusanye pamoja juu ya Edomu; musimame muende kushambulia!