Jeremiah 49:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi Mwenyezi-Mungu nitakufanya wee Edomu kuwa mdogo kuliko mataifa yote. Ulimwengu wote utakudharau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa nitakufanya mdogo miongoni mwa mataifa, uliyedharauliwa miongoni mwa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nimekufanya mdogo kati ya mataifa, Na kudharauliwa katika watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi Mwenyezi-Mungu nitakufanya wee Edomu kuwa mdogo kuliko mataifa yote. Ulimwengu wote utakudharau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa, aliyedharauliwa miongoni mwa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa, aliyedharauliwa miongoni mwa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nimekufanya mdogo kati ya mataifa, Na kudharauliwa katika watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi Mwenyezi-Mungu nitakufanya wee Edomu kuwa mdogo kuliko mataifa yote. Ulimwengu wote utakudharau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mtaniona, nikiwafanya kuwa wadogo katika mataifa, mbezwe na watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nimekufanya mdogo kati ya mataifa, Na kudharauliwa katika watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Yawe nitakufanya wewe Edomu kuwa mudogo kuliko mataifa yote. Ulimwengu wote utakuzarau.