Jeremiah 49:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Edomu itakuwa kitisho na kila mtu atakayepita karibu yake atashangaa, na kuizomea kwa sababu ya maafa yatakayoipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Edomu atakuwa kitu cha kutisha; wote wapitao karibu watashangaa na kuzomea kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Edomu atakuwa ajabu; kila mtu apitaye atashangaa, na kuzomea, kwa sababu ya mapigo yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Edomu itakuwa kitisho na kila mtu atakayepita karibu yake atashangaa, na kuizomea kwa sababu ya maafa yatakayoipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Edomu atakuwa kitu cha kutisha; wote wapitao kando yake watashangaa na kuzomea kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya; wote wapitao karibu watashangaa na kuzomea kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Edomu atakuwa ajabu; kila mtu apitaye atashangaa, na kuzomea, kwa sababu ya mapigo yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Edomu itakuwa kitisho na kila mtu atakayepita karibu yake atashangaa, na kuizomea kwa sababu ya maafa yatakayoipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ya Edomu itakuwa mapori matupu, kila atakayepapita atastuka na kuyazomea mapigo yake yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Edomu atakuwa ajabu; kila mtu apitaye atashangaa, na kuzomea, kwa sababu ya mapigo yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi ya Edomu itakuwa kitisho na kila mutu atakayepita karibu yake atashangaa, na kuizomea kwa sababu ya hasara itakayoipata.