Jeremiah 49:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka; sauti ya kilio chao itasikika mpaka bahari ya Shamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka. Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi yatetemeka kwa sauti ya kuanguka kwao; Kuna kilio, sauti yake yasikiwa katika Bahari ya Shamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka; sauti ya kilio chao itasikika mpaka bahari ya Shamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sauti ya anguko lao dunia itatetemeka, kilio chao kitasikika mpaka Bahari ya Shamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka. Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi yatetemeka kwa sauti ya kuanguka kwao; Kuna kilio, sauti yake yasikiwa katika Bahari ya Shamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka; sauti ya kilio chao itasikika mpaka bahari ya Shamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mtutumo wa kuanguka kwao nchi itatetemeka, nazo sauti za vilio vyao zitasikilika hata kwenye Bahari Nyekundu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi yatetemeka kwa sauti ya kuanguka kwao; Kuna kilio, sauti yake yasikiwa katika Bahari ya Shamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kishindo cha kuanguka kwao, dunia itatetemeka, na kilio chao kitasikilika mpaka kwenye bahari Nyekundu.