Jeremiah 49:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ajabu kuachwa kwa mji maarufu, mji uliokuwa umejaa furaha!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mji unaosifika haujaachwa, mji wenye sifa, na wa furaha yangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Imekuwaje mji wa sifa haukuachwa, mji wa furaha yangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ajabu kuachwa kwa mji maarufu, mji uliokuwa umejaa furaha!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa, mji ambao ninaupenda?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa, mji ambao ninaupenda?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Imekuwaje mji wa sifa haukuachwa, mji wa furaha yangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ajabu kuachwa kwa mji maarufu, mji uliokuwa umejaa furaha!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe umeachwa wote mji huo uliokuwa mji, walimoshangilia kwa kufurahi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Imekuwaje mji wa sifa haukuachwa, mji wa furaha yangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namna gani muji wenye sifa umeachwa, muji uliokuwa umejaa furaha!