Jeremiah 49:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hema zao na kondoo wao vitachukuliwa, kadhalika mapazia yao na mali yao yote; watanyanganywa ngamia wao, na kilio kitasikika: ‘Kitisho kila upande!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahema yao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; vibanda vyao vitatwaliwa, pamoja na mali yao yote na ngamia wao. Watu watawapigia kelele, ‘Hofu kuu iko kila upande!’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hema zao na makundi yao watayatwaa; watachukulia mbali mapazia yao kwa faida yao wenyewe, na vyombo vyao vyote, na ngamia zao; nao watawapigia kelele wakisema, Hofu ziko pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hema zao na kondoo wao vitachukuliwa, kadhalika mapazia yao na mali yao yote; watanyang'anywa ngamia wao, na kilio kitasikika: ‘Kitisho kila upande!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hema zao na makundi yao ya kondoo na mbuzi yatachukuliwa; vibanda vyao vitatwaliwa pamoja na mali zao zote na ngamia zao. Watu watawapigia kelele, ‘Hofu kuu iko kila upande!’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; vibanda vyao vitatwaliwa pamoja na mali zao zote na ngamia zao. Watu watawapigia kelele, ‘Hofu kuu iko kila upande!’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hema zao na makundi yao watayatwaa; watachukulia mbali mapazia yao kwa faida yao wenyewe, na vyombo vyao vyote, na ngamia wao; nao watawapigia kelele wakisema, Hofu ziko pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hema zao na kondoo wao vitachukuliwa, kadhalika mapazia yao na mali yao yote; watanyanganywa ngamia wao, na kilio kitasikika: ‘Kitisho kila upande!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na wayachukue mahema yao na makundi yao, wajitwalie mazulia yao na vyombo vyao vyote na ngamia wao, nao watawalilia kwamba: Matisho po pote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hema zao na makundi yao watayatwaa; watachukulia mbali mapazia yao kwa faida yao wenyewe, na vyombo vyao vyote, na ngamia zao; nao watawapigia kelele wakisema, Hofu ziko pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hema zao na kondoo wao vitakamatwa, vilevile na mapazia yao na mali yao yote; watanyanganywa ngamia wao, na kilio kitasikilika: Kitisho kila upande!