Jeremiah 49:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka uende kulishambulia taifa linalostarehe, taifa linaloishi kwa usalama. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Taifa hilo halina malango wala pao za chuma; ni taifa ambalo liko peke yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Inuka na ulishambulie taifa lililostarehe, linaloishi kwa kujiamini,” asema Mwenyezi Mungu, “taifa lisilo na malango wala makomeo; watu wake wanaishi peke yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondokeni, pandeni hata taifa lililo katika hali ya raha, likaalo bila kuhangaika, asema Bwana; wasio na malango wala makomeo, wakaao peke yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka uende kulishambulia taifa linalostarehe, taifa linaloishi kwa usalama. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Taifa hilo halina malango wala pao za chuma; ni taifa ambalo liko peke yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Inuka na ulishambulie taifa lililostarehe, linaloishi kwa kujiamini,” asema BWANA, “taifa lisilo na malango wala makomeo; watu wake huishi peke yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Inuka na ulishambulie taifa lililo starehe, linaloishi kwa kujiamini,” asema bwana, “taifa lisilo na malango wala makomeo; watu wake huishi peke yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondokeni, pandeni hata taifa lililo katika hali ya raha, likaalo bila kuhangaika, asema BWANA; wasio na malango wala makomeo, wakaao peke yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka uende kulishambulia taifa linalostarehe, taifa linaloishi kwa usalama. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Taifa hilo halina malango wala pao za chuma; ni taifa ambalo liko peke yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Inukeni, mpande kwenda kwa taifa lililojituliza na kukaa pasipo mahangaiko! Hawama milango wala makomeo, hujikalia peke yao tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondokeni, pandeni hata taifa lililo katika hali ya raha, likaalo bila kuhangaika, asema BWANA; wasio na malango wala makomeo, wakaao peke yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simama uende kulishambulia taifa linalostarehe, taifa linaloishi kwa usalama. –Ni ujumbe wa Yawe.– Taifa hilo halina milango wala vifungio vya chuma; ni taifa ambalo liko peke yake.