Jeremiah 49:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji wa Hazori utakuwa makao ya mbweha, utakuwa jangwa daima; hakuna mtu atakayekaa humo, wala atakayeishi humo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hazori itakuwa makao ya mbweha, mahali pa ukiwa milele. Hakuna atakayeishi humo; hakuna mtu atakayekaa ndani yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Hazori utakuwa kao la mbwa-mwitu; ukiwa milele; hapana mtu atakayekaa huko, wala hapana mwanadamu atakayekaa huko kama mgeni akaavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji wa Hazori utakuwa makao ya mbweha, utakuwa jangwa daima; hakuna mtu atakayekaa humo, wala atakayeishi humo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hazori itakuwa makao ya mbweha, mahali pa ukiwa milele. Hakuna ye yote atakayeishi humo; hakuna mtu atakayekaa ndani yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hazori itakuwa makao ya mbweha, mahali pa ukiwa milele. Hakuna yeyote atakayeishi humo; hakuna mtu atakayekaa ndani yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Hazori utakuwa kao la mbwamwitu; ukiwa milele; hakuna mtu atakayekaa huko, wala hakuna mwanadamu atakayekaa huko kama mgeni akaavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji wa Hazori utakuwa makao ya mbweha, utakuwa jangwa daima; hakuna mtu atakayekaa humo, wala atakayeishi humo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Hasori utakapokuwa kao la mbwa wa mwitu kwa kukaa peke yao tu kale na kale. Hapatakaa mtu, wala hapatalala mgeni wa kimtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Hazori utakuwa kao la mbwa-mwitu; ukiwa milele; hapana mtu atakayekaa huko, wala hapana mwanadamu atakayekaa huko kama mgeni akaavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji wa Hazori utakuwa makao ya mbweha, utakuwa jangwa siku zote; hakuna mutu atakayekaa humo, wala atakayeishi humo.