Jeremiah 49:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini katika siku za mwisho, nitaurudishia mji wa Elamu fanaka yake. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu katika siku zijazo,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini itakuwa, katika siku za mwisho, nitawarudisha wafungwa wa Elamu, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini katika siku za mwisho, nitaurudishia mji wa Elamu fanaka yake. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu katika siku zijazo,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu katika siku zijazo,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini itakuwa, katika siku za mwisho, nitawarudisha wafungwa wa Elamu, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini katika siku za mwisho, nitaurudishia mji wa Elamu fanaka yake. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku zitakapotimia, nitayafungua mafungo ya Waelamu; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini itakuwa, katika siku za mwisho, nitawarudisha wafungwa wa Elamu, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini katika siku za mwisho, nitaurudishia muji wa Elamu hali yake. –Ni ujumbe wa Yawe!