Jeremiah 49:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini baadaye nitawarudishia Waamoni fanaka yao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini hatimaye, nitarudisha mateka wa Waamoni,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini baada ya hayo nitawarudisha wana wa Amoni walio utumwani, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini baadaye nitawarudishia Waamoni fanaka yao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini hatimaye, nitarudisha mateka wa Waamoni,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini hatimaye, nitarudisha mateka wa Waamoni,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini baada ya hayo nitawarudisha wana wa Amoni walio utumwani, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini baadaye nitawarudishia Waamoni fanaka yao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yatakapokwisha, nitayafungua mafungo ya wana wa Amoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini baada ya hayo nitawarudisha wana wa Amoni walio utumwani, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kisha nitawarudisha tena Waamoni katika hali yao. –Ni ujumbe wa Yawe.