Jeremiah 49:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhusu Edomu. Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Je, hakuna tena hekima mjini Temani? Je, wenye busara wao hawana shauri tena? Hekima imetoweka kabisa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: “Je, hakuna tena hekima katika Temani? Je, shauri limewapotea wenye busara? Je, hekima yao imechakaa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Habari za Edomu. Bwana wa majeshi asema hivi, Je! Hapana tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhusu Edomu. Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Je, hakuna tena hekima mjini Temani? Je, wenye busara wao hawana shauri tena? Hekima imetoweka kabisa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo BWANA Mwenye Nguvu Zote: “Je, hakuna tena hekima katika Temani? Je, shauri limewapotea wenye busara? Je, hekima yao imechakaa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo bwana Mwenye Nguvu Zote: “Je, hakuna tena hekima katika Temani? Je, shauri limewapotea wenye busara? Je, hekima yao imechakaa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhusu Edomu. BWANA wa majeshi asema hivi, Je! Hakuna tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhusu Edomu. Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Je, hakuna tena hekima mjini Temani? Je, wenye busara wao hawana shauri tena? Hekima imetoweka kabisa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatakayowapata Waedomu. Hivi ndivyo, Bwana Mwenye vikosi anavyosema: Je? Huko Temani hakuna tena werevu wa kweli? Wajuzi wamepotelewa na akili, werevu wao wa kweli ukatoweka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari za Edomu. BWANA wa majeshi asema hivi, Je! Hapana tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya Edomu, Yawe wa majeshi anasema hivi: Hakuna tena hekima katika muji wa Temani? Wenye hekima wao hawana shauri tena? Hekima imetoweka kabisa?