Jeremiah 5:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamesema uongo juu ya Mwenyezi-Mungu wamesema: “Hatafanya kitu; hatutapatwa na uovu wowote; hatutashambuliwa wala kuona njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamedanganya kuhusu Mwenyezi Mungu. Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote! Hakuna dhara litakalotupata; kamwe hatutaona upanga wala njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamemkataa Bwana, na kusema, Si yeye; wala hayatatupata mabaya; wala hatutaona upanga wala njaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamesema uongo juu ya Mwenyezi-Mungu wamesema: “Hatafanya kitu; hatutapatwa na uovu wowote; hatutashambuliwa wala kuona njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamedanganya kuhusu BWANA, wamesema, “Yeye hatafanya jambo lo lote! Hakuna dhara litakalotupata; kamwe hatutaona upanga wala njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamedanganya kuhusu bwana. Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote! Hakuna dhara litakalotupata; kamwe hatutaona upanga wala njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamemkataa BWANA, na kusema, Si yeye; wala hayatatupata mabaya; wala hatutaona upanga wala njaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamesema uongo juu ya Mwenyezi-Mungu wamesema: “Hatafanya kitu; hatutapatwa na uovu wowote; hatutashambuliwa wala kuona njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walimkana Bwana, wakasema: Hayupo, wala hakuna kibaya kitakachotujia, hatutaona upanga wala njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamemkataa BWANA, na kusema, Si yeye; wala hayatatupata mabaya; wala hatutaona upanga wala njaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao wamesema uongo juu ya Yawe. Wamesema: Hatafanya kitu; hatutapatwa na hasara yoyote; hatutafikiwa na vita wala njaa.