Jeremiah 5:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao; kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na manabii watakuwa upepo, wala neno lake halimo ndani yao; basi ndivyo watakavyotendwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao, kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao, kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na manabii watakuwa upepo, wala neno lake halimo ndani yao; basi ndivyo watakavyotendwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Manabii si kitu, ni upepo tu; maana neno lake Mungu halimo ndani yao.” Basi hayo na yawapate wao wenyewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wafumbuaji watakuwa upepo tu, lakini Neno halimo mwao; wenyewe na wafanyiziwe waliyoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na manabii watakuwa upepo, wala neno lake halimo ndani yao; basi ndivyo watakavyotendwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Manabii si kitu, ni upepo tu. Maneno wanayoyasema hayatoki kwa Mungu. Iwatokee kama vile wanavyosema!