Jeremiah 5:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mishale yao husambaza kifo; wote ni mashujaa wa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Podo lao ni kama kaburi lililo wazi, wote ni mashujaa hodari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Podo lao ni kaburi wazi, ni mashujaa wote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mishale yao husambaza kifo; wote ni mashujaa wa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Podo zao ni kama kaburi lililo wazi, wote ni mashujaa hodari wa vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Podo zao ni kama kaburi lililo wazi, wote ni mashujaa hodari wa vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Podo lao ni kaburi wazi, ni mashujaa wote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mishale yao husambaza kifo; wote ni mashujaa wa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mapodo yao ni kama makaburi yaliyo wazi, wote ndio mafundi wa vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Podo lao ni kaburi wazi, ni mashujaa wote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mishale yao inaua watu kwa uwingi, wote ni mashujaa wa vita.