Jeremiah 5:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini, hata katika siku hizo mimi Mwenyezi-Mungu nasema, sitawaangamiza na kuwamaliza kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hata hivyo katika siku hizo, sitakuangamiza kabisa,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hata katika siku zile, asema Bwana, sitawakomesha ninyi kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini, hata katika siku hizo mimi Mwenyezi-Mungu nasema, sitawaangamiza na kuwamaliza kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hata hivyo katika siku hizo, sitakuangamiza kabisa,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hata hivyo katika siku hizo, sitakuangamiza kabisa,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hata katika siku zile, asema BWANA, sitawakomesha ninyi kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini, hata katika siku hizo mimi Mwenyezi-Mungu nasema, sitawaangamiza na kuwamaliza kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hata siku hizo, sitawamaliza kabisa; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hata katika siku zile, asema BWANA, sitawakomesha ninyi kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hata katika siku hizo mimi, sitawaangamiza ninyi na kuwamaliza kabisa. –Ni ujumbe wa Yawe.