Jeremiah 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa wanaapa: “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo”, viapo vyao ni vya uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo,’ bado wanaapa kwa uongo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wajaposema, Kama Bwana aishivyo, hakika waapa kwa uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa wanaapa: “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo”, viapo vyao ni vya uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama BWANA aishivyo,’ bado wanaapa kwa uongo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama bwana aishivyo,’ bado wanaapa kwa uongo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wajaposema, Kama BWANA aishivyo, hakika waapa kwa uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa wanaapa: “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo”, viapo vyao ni vya uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakisema: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima! huapa kwa uwongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wajaposema, Kama BWANA aishivyo, hakika waapa kwa uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa watu wake wanaapa kwa nafsi ya Yawe, viapo vyao ni vya uongo.