Jeremiah 5:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni enyi wajinga na wapumbavu; watu mlio na macho, lakini hamwoni, mlio na masikio, lakini hamsikii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, mlio na macho lakini hamwoni, mlio na masikio lakini hamsikii:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikilizeni neno hili, enyi watu wajinga msio na ufahamu; mlio na macho ila hamwoni; mlio na masikio ila hamsikii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni enyi wajinga na wapumbavu; watu mlio na macho, lakini hamwoni, mlio na masikio, lakini hamsikii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikieni hili, enyi wapumbavu na watu msio na akili, mlio na macho lakini hamwoni, mlio na masikio lakini hamsikii:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, mlio na macho lakini hamwoni, mlio na masikio lakini hamsikii:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikilizeni neno hili, enyi watu wajinga msio na ufahamu; mlio na macho ila hamuoni; mlio na masikio ila hamsikii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni enyi wajinga na wapumbavu; watu mlio na macho, lakini hamwoni, mlio na masikio, lakini hamsikii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yasikieni haya, mlio watu wenye upumbavu pasipo mawazo ya moyoni! Macho mnayo, lakini hamwoni; masikio mnayo, lakini hamsikii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikilizeni neno hili, enyi watu wajinga msio na ufahamu; mlio na macho ila hamwoni; mlio na masikio ila hamsikii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize, enyi wajinga na wapumbafu: ninyi munaokuwa na macho, lakini hamwoni, munaokuwa na masikio, lakini hamusikii.