Jeremiah 5:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu hawa wana moyo wa ukaidi na uasi; wameniacha wakaenda zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, wamegeukia mbali na kwenda zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini watu hawa wana moyo wa kuasi na ukaidi; wameasi, wamekwenda zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu hawa wana moyo wa ukaidi na uasi; wameniacha wakaenda zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, wamegeukia mbali na kwenda zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, wamegeukia mbali na kwenda zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini watu hawa wana moyo wa kuasi na ukaidi; wameasi, wamekwenda zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu hawa wana moyo wa ukaidi na uasi; wameniacha wakaenda zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao wa ukoo huu wanayo mioyo ikataayo kutii, iliyo yenye ubishi, wakaondoka kwenda zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini watu hawa wana moyo wa kuasi na ukaidi; wameasi, wamekwenda zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu hawa wana moyo mugumu na wa uasi; wamegeuka na kuniacha.