Jeremiah 5:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala hawasemi mioyoni mwao; ‘Na tumche Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, anayetujalia mvua kwa wakati wake, anayetupatia mvua za masika na mvua za vuli; na kutupa majira maalumu ya mavuno.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao hawaambiani wenyewe, ‘Sisi na tumwogope Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, anayetupatia mvua za masika na za vuli kwa majira yake, anayetuhakikishia majuma ya mavuno kwa utaratibu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawasemi mioyoni mwao, Basi, na tumche Bwana, Mungu wetu, aletaye mvua, mvua ya mwaka, na mvua ya vuli, kwa wakati wake; na kutuwekea juma za mavuno zilizoamriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala hawasemi mioyoni mwao; ‘Na tumche Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, anayetujalia mvua kwa wakati wake, anayetupatia mvua za masika na mvua za vuli; na kutupa majira maalumu ya mavuno.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao hawaambiani wenyewe, ‘Sisi na tumwogope BWANA Mungu wetu, anayetupatia mvua za masika na za vuli kwa majira yake, anayetuhakikishia majuma ya mavuno kwa utaratibu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao hawaambiani wenyewe, ‘Sisi na tumwogope bwana Mwenyezi Mungu wetu, anayetupatia mvua za masika na za vuli kwa majira yake, anayetuhakikishia majuma ya mavuno kwa utaratibu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawasemi mioyoni mwao, Basi, na tumche BWANA, Mungu wetu, aletaye mvua, mvua ya mwaka, na mvua ya vuli, kwa wakati wake; na kutuwekea majuma ya mavuno yaliyoamriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala hawasemi mioyoni mwao; ‘Na tumche Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, anayetujalia mvua kwa wakati wake, anayetupatia mvua za masika na mvua za vuli; na kutupa majira maalumu ya mavuno.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakusema mioyoni mwao: Na tumwogope Bwana Mungu wetu atupaye mvua za masika na za vuli, siku zao zinapotimia, atulindiaye majuma ya mavuno mwaka kwa mwaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawasemi mioyoni mwao, Basi, na tumche BWANA, Mungu wetu, aletaye mvua, mvua ya mwaka, na mvua ya vuli, kwa wakati wake; na kutuwekea juma za mavuno zilizoamriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wala hawasemi wenyewe hivi: Inatupasa kumwogopa Yawe, Mungu wetu, anayetujalia mvua kwa wakati wake, anayetupatia mvua za kwanza na mvua za mwisho; na kutupatia nyakati nzuri za mavuno.