Jeremiah 5:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makosa yenu yamewazuia msipate baraka hizo, dhambi zenu zimewafanya msipate mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, dhambi zenu zimewazuia msipate mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maovu yenu yameyageuza haya, na dhambi zenu zimewazuilia mema msiyapate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makosa yenu yamewazuia msipate baraka hizo, dhambi zenu zimewafanya msipate mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, dhambi zenu zimewafanya msipate mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, dhambi zenu zimewazuia msipate mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maovu yenu yameyageuza haya, na dhambi zenu zimewazuilia mema msiyapate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makosa yenu yamewazuia msipate baraka hizo, dhambi zenu zimewafanya msipate mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini manza zenu zimeyatengua haya, makosa yenu yakawanyima mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maovu yenu yameyageuza haya, na dhambi zenu zimewazuilia mema msiyapate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makosa yenu yamewazuia musipate baraka hizo, zambi zenu zimewafungia kupata mema yale.