Jeremiah 5:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, kuna walaghai miongoni mwa watu wangu, watu ambao hunyakua mali za wengine. Wako kama wawindaji wa ndege: Hutega mitego yao na kuwanasa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu wanaovizia kama watu wanaotega ndege, na kama wale wanaoweka mitego kuwakamata watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huotea kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, kuna walaghai miongoni mwa watu wangu, watu ambao hunyakua mali za wengine. Wako kama wawindaji wa ndege: hutega mitego yao na kuwanasa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu wanaovizia kama watu wanaotega ndege na kama wale wanaoweka mitego kuwakamata watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu wanaovizia kama watu wanaotega ndege, na kama wale wanaoweka mitego kuwakamata watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huvizia kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, kuna walaghai miongoni mwa watu wangu, watu ambao hunyakua mali za wengine. Wako kama wawindaji wa ndege: Hutega mitego yao na kuwanasa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwao walio ukoo wangu wameonekana wasionicha; wanavizia na kunyatia kama wategea ndege, hutega mitego, wakanasa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huotea kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika, kati ya watu wangu kuna waovu, watu ambao wananyanganya mali za wengine. Wako kama wawindaji wa ndege: wanatega mitego yao na kuwanasa watu.