Jeremiah 5:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile kapu lililojaa ndege walionaswa, ndivyo nyumba zao zilivyojaa mali za udanganyifu. Ndiyo maana wamekuwa watu wakubwa na matajiri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vitundu vilivyojaa ndege, nyumba zao zimejaa udanganyifu; wamekuwa matajiri na wenye nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama tundu lijaavyo ndege, kadhalika nyumba zao zimejaa hila; kwa hiyo wamekuwa wakuu, wamepata mali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile kapu lililojaa ndege walionaswa, ndivyo nyumba zao zilivyojaa mali za udanganyifu. Ndiyo maana wamekuwa watu wakubwa na matajiri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vitundu vilivyojaa ndege, nyumba zao zimejaa udanganyifu; wamekuwa matajiri na wenye nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vitundu vilivyojaa ndege, nyumba zao zimejaa udanganyifu; wamekuwa matajiri na wenye nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama tundu lijaavyo ndege, kadhalika nyumba zao zimejaa hila; kwa hiyo wamekuwa wakuu, wamepata mali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile kapu lililojaa ndege walionaswa, ndivyo nyumba zao zilivyojaa mali za udanganyifu. Ndiyo maana wamekuwa watu wakubwa na matajiri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama tundu linavyojaa ndege, ndivyo, nyumba zao zinavyojaa madanganyo, kwa hiyo wakawa wakubwa, wakapata mali nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama tundu lijaavyo ndege, kadhalika nyumba zao zimejaa hila; kwa hiyo wamekuwa wakuu, wamepata mali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile kikapu kinachojaa ndege walionaswa, ndivyo nyumba zao zinavyojaa mali za udanganyifu. Ndiyo maana wamekuwa watu wakubwa na watajiri,