Jeremiah 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo nilipowaza: “Hawa ni watu duni hawana akili; hawajui matakwa ya Mwenyezi-Mungu, hawajui Sheria ya Mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; wao ni wapumbavu, kwa maana hawaijui njia ya Mwenyezi Mungu, sheria ya Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikasema, Hakika, hawa ni maskini; ni wajinga hawa; maana hawaijui njia ya Bwana, wala hukumu ya Mungu wao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo nilipowaza: “Hawa ni watu duni hawana akili; hawajui matakwa ya Mwenyezi-Mungu, hawajui Sheria ya Mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; wao ni wapumbavu, kwa maana hawaijui njia ya BWANA, sheria ya Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; wao ni wapumbavu, kwa maana hawaijui njia ya bwana, Torati ya Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikasema, Hakika, hawa ni maskini; ni wajinga hawa; maana hawaijui njia ya BWANA, wala hukumu ya Mungu wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo nilipowaza: “Hawa ni watu duni hawana akili; hawajui matakwa ya Mwenyezi-Mungu, hawajui Sheria ya Mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nalisema moyoni: Ndio wanyonge tu walio wapumbavu hivyo, kwani hawaijui njia ya Bwana wala yampasayo Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikasema, Hakika, hawa ni maskini; ni wajinga hawa; maana hawaijui njia ya BWANA, wala hukumu ya Mungu wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo niliwaza hivi: Watu hawa ni zaifu, hawana akili; hawajui mapenzi ya Yawe, hawajui Sheria ya Mungu wao.