Jeremiah 5:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa kama farasi walioshiba wenye tamaa, kila mmoja akimtamani mke wa jirani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamelishwa vizuri, kama farasi dume wenye tamaa nyingi, kila mmoja akimlilia mke wa mwanaume mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walikuwa kama farasi walioshiba wakati wa asubuhi; kila mmoja akalia kwa kutamani mke wa mwenzake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa kama farasi walioshiba wenye tamaa, kila mmoja akimtamani mke wa jirani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamelishwa vizuri, kama farasi waume wenye tamaa nyingi, kila mmoja akimlilia mke wa mwanaume mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamelishwa vizuri, kama farasi waume wenye tamaa nyingi, kila mmoja akimlilia mke wa mwanaume mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walikuwa kama farasi walioshiba wakati wa asubuhi; kila mmoja akalia kwa kutamani mke wa mwenzake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa kama farasi walioshiba wenye tamaa, kila mmoja akimtamani mke wa jirani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatembea kama farasi walionona, kila mmoja akimlilia mke wa mwenziwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walikuwa kama farasi walioshiba wakati wa asubuhi; kila mmoja akalia kwa kutamani mke wa mwenzake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walikuwa kama farasi dume wanono wenye tamaa, kila mumoja anamutamani muke wa jirani yake.