Jeremiah 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, nisiwaadhibu kwa mambo haya yote? Nisilipize kisasi juu ya taifa kama hili?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema Mwenyezi Mungu. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nisiwapatilize kwa sababu ya mambo hayo? Asema Bwana; na nafsi yangu, je! Nisijilipize kisasi juu ya taifa la namna hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, nisiwaadhibu kwa mambo haya yote? Nisilipize kisasi juu ya taifa kama hili?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema BWANA. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” asema bwana. “Je, nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nisiwapatilize kwa sababu ya mambo hayo? Asema BWANA; na nafsi yangu, je! Nisijilipizie kisasi juu ya taifa la namna hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, nisiwaadhibu kwa mambo haya yote? Nisilipize kisasi juu ya taifa kama hili?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo kama hayo nisiyapatilize? ndivyo, asemavyo Bwana; watu walio hivyo roho yangu isiwalipize?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nisiwapatilize kwa sababu ya mambo hayo? Asema BWANA; na nafsi yangu, je! Nisijilipize kisasi juu ya taifa la namna hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nisiwaazibu kwa ajili ya mambo haya yote? –Ni ujumbe wa Yawe.– Nisilipize kisasi juu ya taifa kama hili?