Jeremiah 50:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo neno alilosema Mwenyezi Mungu kupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili ndilo alilosema Bwana, katika habari za Babeli, na katika habari za Wakaldayo, kwa kinywa cha Yeremia, nabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo neno alilosema BWANA kupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo neno alilosema bwana kupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili ndilo alilosema BWANA, kuhusu Babeli na kuhusu Wakaldayo, kwa kinywa cha Yeremia, nabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kwa njia ya nabii Yeremia kuhusu nchi ya Babuloni na nchi ya Wakaldayo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno, Bwana alilolisema kwa kinywa chake Yeremia kuwaambia Wababeli walioko katika nchi ya Wakasidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili ndilo alilosema BWANA, katika habari za Babeli, na katika habari za Wakaldayo, kwa kinywa cha Yeremia, nabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akatoa ujumbe huu kwa njia ya nabii Yeremia juu ya inchi ya Babeli, ile inchi ya Wakaldea: