Jeremiah 50:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi ya Wakaldayo itaporwa, na hao watakaoipora wataridhika. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Ukaldayo utatekwa nyara; wote wanaouteka, watapata nyara za kutosha,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao Ukaldayo utakuwa mateka; wote wautekao watashiba, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi ya Wakaldayo itaporwa, na hao watakaoipora wataridhika. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Ukaldayo utatekwa nyara; wote wamtekao nyara watapata za kutosha,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Ukaldayo utatekwa nyara; wote wamtekao nyara watapata za kutosha,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao Ukaldayo utakuwa mateka; wote wautekao watashiba, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi ya Wakaldayo itaporwa, na hao watakaoipora wataridhika. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ya Wakasidi itatekwa, nao watakaoiteka watashiba wote; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Ukaldayo utakuwa mateka; wote wautekao watashiba, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi ya Wakaldea itanyanganywa, na hao watakaoinyanganya watashiba. –Ni ujumbe wa Yawe.