Jeremiah 50:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Enyi waporaji wa mali yangu! Japo mnafurahi na kushangilia, mnarukaruka kama mtamba wa ng'ombe anayepura nafaka, na kulia kama farasi dume,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa sababu hushangilia na kufurahi, wewe utekaye urithi wangu, kwa sababu unachezacheza kama mtamba anayepura nafaka, na kulia kama farasi dume,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu mnafurahi, kwa sababu mnashangilia, enyi mnaouteka urithi wangu, kwa sababu mmewanda kama mtamba akanyagaye nafaka, nanyi mnalia kama farasi wenye nguvu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Enyi waporaji wa mali yangu! Japo mnafurahi na kushangilia, mnarukaruka kama mtamba wa ng'ombe anayepura nafaka, na kulia kama farasi dume,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa sababu hushangilia na kufurahi, wewe utekaye urithi wangu, kwa sababu unachezacheza kama mtamba anayepura nafaka na kulia kama farasi dume asiyehasiwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa sababu hushangilia na kufurahi, wewe utekaye urithi wangu, kwa sababu unachezacheza kama mtamba anayepura nafaka, na kulia kama farasi dume,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu mnafurahi, kwa sababu mnashangilia, enyi mnaouteka urithi wangu, kwa sababu mmenona kama mtamba akanyagaye nafaka, nanyi mnalia kama farasi wenye nguvu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Enyi waporaji wa mali yangu! Japo mnafurahi na kushangilia, mnarukaruka kama mtamba wa ng'ombe anayepura nafaka, na kulia kama farasi dume,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa mwalifurahi, mkapiga vigelegele hapo, mlipolipokonya fungu langu, mkachezacheza kama ndama wakipura, mkalia kama farasi wenye nguvu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu mnafurahi, kwa sababu mnashangilia, enyi mnaouteka urithi wangu, kwa sababu mmewanda kama mtamba akanyagaye nafaka, nanyi mnalia kama farasi wenye nguvu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wanyanganyi wa mali yangu, ijapokuwa munafurahi na kushangilia, munarukaruka kama mwana-ngombe anayepepeta ngano, na kulia kama farasi dume,