Jeremiah 50:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu, Babuloni haitakaliwa kabisa na watu, bali itakuwa jangwa kabisa; kila atakayepita karibu nayo atashangaa ataizomea kwa sababu ya majeraha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya hasira ya Mwenyezi Mungu hatakaliwa na mtu, lakini ataachwa ukiwa kabisa. Wote watakaopita Babeli watatiwa hofu na kudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ya ghadhabu ya Bwana haitakaliwa na mtu, bali itakuwa ukiwa mtupu; kila mtu apitaye karibu na Babeli atashangaa, atazomea kwa sababu ya mapigo yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu, Babuloni haitakaliwa kabisa na watu, bali itakuwa jangwa kabisa; kila atakayepita karibu nayo atashangaa ataizomea kwa sababu ya majeraha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya hasira ya BWANA hatakaliwa na mtu, lakini ataachwa ukiwa kabisa. Wote watakaopita Babeli watatiwa hofu na kudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu ya hasira ya bwana hatakaliwa na mtu, lakini ataachwa ukiwa kabisa. Wote watakaopita Babeli watatiwa hofu na kudhihaki kwa sababu ya majeraha yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ya ghadhabu ya BWANA haitakaliwa na mtu, bali itakuwa ukiwa mtupu; kila mtu apitaye karibu na Babeli atashangaa, atazomea kwa sababu ya mapigo yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu ya ghadhabu yangu Mwenyezi-Mungu, Babuloni haitakaliwa kabisa na watu, bali itakuwa jangwa kabisa; kila atakayepita karibu nayo atashangaa ataizomea kwa sababu ya majeraha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kukasirika kwake Bwana hautakaa mtu, wote pia utakuwa peke yake tu, kila atakayepapita palipokuwa na Babeli, atapastuka na kuuzomea kwa ajili ya mapigo yake yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ya ghadhabu ya BWANA haitakaliwa na mtu, bali itakuwa ukiwa mtupu; kila mtu apitaye karibu na Babeli atashangaa, atazomea kwa sababu ya mapigo yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ya kasirani yangu Yawe, Babeli haitakaliwa kabisa na watu, lakini itakuwa jangwa kabisa; kila mutu atakayepita karibu nayo atashangaa, ataizomea kwa sababu ya mapigo yake.