Jeremiah 50:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upigieni kelele za vita pande zote, sasa Babuloni umejitoa ukamatwe. Ngome zake zimeanguka, kuta zake zimebomolewa. Ninalipiza kisasi juu ya Babuloni Basi jilipizeni kisasi, utendeeni kama ulivyowatenda wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Piga kelele dhidi yake kila upande! Anajisalimisha, minara yake inaanguka, kuta zake zimebomoka. Kwa kuwa hiki ni kisasi cha Mwenyezi Mungu, mlipizeni kisasi; mtendeeni kama alivyowatendea wengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpigieni kelele pande zote; amejitoa; Maboma yake yameanguka, kuta zake zimebomolewa; Kwa maana ni kisasi cha Bwana; mlipizeni kisasi; Kama yeye alivyotenda, mtendeni yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upigieni kelele za vita pande zote, sasa Babuloni umejitoa ukamatwe. Ngome zake zimeanguka, kuta zake zimebomolewa. Ninalipiza kisasi juu ya Babuloni Basi jilipizeni kisasi, utendeeni kama ulivyowatenda wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Piga kelele dhidi yake kila upande! Anajisalimisha, minara yake inaanguka, kuta zake zimebomoka. Kwa kuwa hiki ni kisasi cha BWANA, mlipizeni kisasi; mtendeeni kama alivyowatendea wengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Piga kelele dhidi yake kila upande! Anajisalimisha, minara yake inaanguka, kuta zake zimebomoka. Kwa kuwa hiki ni kisasi cha bwana, mlipizeni kisasi; mtendeeni kama alivyowatendea wengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpigieni kelele pande zote; amejitoa; Maboma yake yameanguka, kuta zake zimebomolewa; Kwa maana ni kisasi cha BWANA; mlipizeni kisasi; Kama yeye alivyotenda, mtendeni yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upigieni kelele za vita pande zote, sasa Babuloni umejitoa ukamatwe. Ngome zake zimeanguka, kuta zake zimebomolewa. Ninalipiza kisasi juu ya Babuloni Basi jilipizeni kisasi, utendeeni kama ulivyowatenda wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni vigelegele po pote! Umejitia mikononi mwenu! Maboma yake yamebomolewa, kuta zake zimeangushwa, kwani hili ndilo lipizi la Bwana, kwa hiyo ulipisheni! Kama ulivyofanya, ufanyizieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpigieni kelele pande zote; amejitoa; Maboma yake yameanguka, kuta zake zimebomolewa; Kwa maana ni kisasi cha BWANA; mlipizeni kisasi; Kama yeye alivyotenda, mtendeni yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupigie kelele za vita pande zote; sasa Babeli umejitoa ukamatwe. Vikingio vyote vimeanguka, kuta zake zimebomolewa. Ni malipizi ya Yawe. Basi muulipize kisasi. Muutendee kama vile ulivyotendea wengine.