Jeremiah 50:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zuieni watu wasipande mbegu Babuloni, wala wasivune wakati wa mavuno. Kutokana na upanga wa udhalimu, kila mmoja atawarudia watu wake kila mmoja atakimbilia nchini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katilieni mbali mpanzi kutoka Babeli, pamoja na mvunaji na mundu wake akivuna. Kwa sababu ya upanga wa mdhalimu kila mmoja na arejee kwa watu wake mwenyewe, kila mmoja na akimbilie kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpanzi mkatilie mbali na Babeli, Naye ashikaye mundu wakati wa mavuno; Kwa sababu ya kuuogopa upanga uoneao, Watageuka kila mtu kwa watu wake, Nao wataikimbilia kila mmoja nchi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zuieni watu wasipande mbegu Babuloni, wala wasivune wakati wa mavuno. Kutokana na upanga wa udhalimu, kila mmoja atawarudia watu wake kila mmoja atakimbilia nchini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katilieni mbali mpanzi kutoka Babeli, naye mvunaji pamoja na mundu wake akivuna. Kwa sababu ya upanga wa mdhalimu kila mmoja na arejee kwa watu wake mwenyewe, kila mmoja na akimbilie kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katilieni mbali mpanzi kutoka Babeli, pamoja na mvunaji na mundu wake akivuna. Kwa sababu ya upanga wa mdhalimu kila mmoja na arejee kwa watu wake mwenyewe, kila mmoja na akimbilie kwenye nchi yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpanzi mkatilie mbali na Babeli, Naye ashikaye mundu wakati wa mavuno; Kwa sababu ya kuuogopa upanga uoneao, Watageuka kila mtu kwa watu wake, Nao wataikimbilia kila mmoja nchi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zuieni watu wasipande mbegu Babuloni, wala wasivune wakati wa mavuno. Kutokana na upanga wa udhalimu, kila mmoja atawarudia watu wake kila mmoja atakimbilia nchini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko Babeli wang'oeni wapanzi nao wavunaji washikao miundu siku za mavuno! Kwa kuzikimbia panga za wenye nguvu kila mtu atawageukia walio wa ukoo wake, kwa hiyo kila mtu ataikimbilia nchi ya kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpanzi mkatilie mbali na Babeli, Naye ashikaye mundu wakati wa mavuno; Kwa sababu ya kuuogopa upanga uoneao, Watageuka kila mtu kwa watu wake, Nao wataikimbilia kila mmoja nchi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muzuie watu wasipande mbegu Babeli, wala wasivune wakati wa mavuno. Kutokana na upanga wa uharibifu, kila mumoja atawarudilia watu wake, kila mumoja atakimbilia katika inchi yake.