Jeremiah 50:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Pandeni, mwiendee nchi ya Merathaimu, nendeni kuishambulia; washambulieni wakazi wa Pekodi na kuwaangamiza kabisa watu wake. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shambulieni nchi ya Merathaimu na wale wanaoishi huko Pekodi. Wafuatieni, waueni na kuwaangamiza kabisa,” asema Mwenyezi Mungu. “Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Panda juu ya nchi ya Merathaimu, naam, juu yake, na juu yao wakaao Pekodi; ua, ukaangamize nyuma yao, asema Bwana, ukatende kama nilivyokuagiza, yote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Pandeni, mwiendee nchi ya Merathaimu, nendeni kuishambulia; washambulieni wakazi wa Pekodi na kuwaangamiza kabisa watu wake. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shambulieni nchi ya Merathaimu na wale waishio huko Pekodi. Wafuatieni, waueni na kuwaangamiza kabisa,” asema BWANA. “Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shambulieni nchi ya Merathaimu na wale waishio huko Pekodi. Wafuatieni, waueni na kuwaangamiza kabisa,” asema bwana. “Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Panda juu ya nchi ya Merathaimu, naam, juu yake, na juu yao wakaao Pekodi; ua, ukaangamize nyuma yao, asema BWANA, ukatende kama nilivyokuagiza, yote pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Pandeni, mwiendee nchi ya Merathaimu, nendeni kuishambulia; washambulieni wakazi wa Pekodi na kuwaangamiza kabisa watu wake. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ipandie nchi yenye makatavu mawili, uingie namo, wakaamo wenye kupatilizwa! Waue na kuwamaliza walio nyuma yao! Yafanye yote, kama nitakavyokuagiza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Panda juu ya nchi ya Merathaimu, naam, juu yake, na juu yao wakaao Pekodi; ua, ukaangamize nyuma yao, asema BWANA, ukatende kama nilivyokuagiza, yote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupande, muiendee inchi ya Merataimu, muende kuishambulia; muwashambulie wakaaji wa Pekodi na kuwaangamiza kabisa watu wake. –Ni ujumbe wa Yawe.– Mufanye kila kitu nilichowaamuru.