Jeremiah 50:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe Babuloni, nilikutegea mtego ukanaswa, wala hukujua juu yake; ulipatikana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana nami Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimetega mtego kwa ajili yako, ee Babeli, nawe ukakamatwa kabla hujafahamu; ulipatikana na ukakamatwa kwa sababu ulimpinga Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekutegea mtego, Ee Babeli, nawe ukanaswa, nawe ulikuwa huna habari; umeonekana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana na Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe Babuloni, nilikutegea mtego ukanaswa, wala hukujua juu yake; ulipatikana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana nami Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimetega mtego kwa ajili yako, Ee Babeli, nawe ukakamatwa kabla haujafahamu; ulipatikana na ukakamatwa kwa sababu ulimpinga BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimetega mtego kwa ajili yako, ee Babeli, nawe ukakamatwa kabla haujafahamu; ulipatikana na ukakamatwa kwa sababu ulimpinga bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekutegea mtego, Ee Babeli, nawe ukanaswa, nawe ulikuwa huna habari; umeonekana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana na BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe Babuloni, nilikutegea mtego ukanaswa, wala hukujua juu yake; ulipatikana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana nami Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekutegea, wewe Babeli, ukanaswa, nawe ulikuwa huvijui; umeonwa, ukakamatwa, kwani umemtaka Bwana, mpigane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekutegea mtego, Ee Babeli, nawe ukanaswa, nawe ulikuwa huna habari; umeonekana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana na BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe Babeli, nilikutegea mutego ukanaswa, wala haukujua kitu juu yake; ulipatikana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana nami Yawe.