Jeremiah 50:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimefungua ghala yangu ya silaha, nikatoa humo silaha za ghadhabu yangu, maana mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nina kazi ya kufanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu amefungua ghala lake la silaha na kuzitoa silaha za ghadhabu yake, kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, anayo kazi ya kufanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amefungua akiba yake ya silaha, naye amezitoa silaha za ghadhabu yake; maana Bwana, Bwana wa majeshi, ana kazi atakayofanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimefungua ghala yangu ya silaha, nikatoa humo silaha za ghadhabu yangu, maana mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nina kazi ya kufanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA amefungua ghala lake la silaha na kuzitoa silaha za ghadhabu yake, kwa kuwa BWANA Mwenyezi Mwenye Nguvu Zote anayo kazi ya kufanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana amefungua ghala lake la silaha na kuzitoa silaha za ghadhabu yake, kwa kuwa bwana Mwenyezi Mwenye Nguvu Zote anayo kazi ya kufanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amefungua akiba yake ya silaha, naye amezitoa silaha za ghadhabu yake; maana Bwana, BWANA wa majeshi, ana kazi atakayofanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimefungua ghala yangu ya silaha, nikatoa humo silaha za ghadhabu yangu, maana mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nina kazi ya kufanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana amelifungua limbiko lake, akayatoa mata ya makali yake, kwani yeye Bwana Mungu Mwenye vikosi yuko na kazi katika nchi ya Wakasidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amefungua akiba yake ya silaha, naye amezitoa silaha za ghadhabu yake; maana Bwana, BWANA wa majeshi, ana kazi atakayofanya katika nchi ya Wakaldayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimefungua gala yangu ya silaha, nikatoa humo silaha za kasirani yangu, maana mimi Bwana wa wote, Yawe wa majeshi, nina kazi ya kufanya katika inchi ya Wakaldea.