Jeremiah 50:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waueni askari wake hodari; waache washukie machinjoni. Ole wao, maana siku yao imewadia, wakati wao wa kuadhibiwa umefika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waueni mafahali wake wachanga wote; waacheni washuke machinjoni! Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, wakati wao wa kuadhibiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachinjeni mafahali wake wote; Na watelemkie machinjoni; Ole wao! Maana siku yao imewadia, Wakati wa kujiliwa kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waueni askari wake hodari; waache washukie machinjoni. Ole wao, maana siku yao imewadia, wakati wao wa kuadhibiwa umefika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waueni mafahali wake wachanga wote; waacheni washuke machinjoni! Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, wakati wao wa kuadhibiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waueni mafahali wake wachanga wote; waacheni washuke machinjoni! Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, wakati wao wa kuadhibiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachinjeni mafahali wake wote; Na wateremkie machinjoni; Ole wao! Maana siku yao imewadia, Wakati wa kujiliwa kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waueni askari wake hodari; waache washukie machinjoni. Ole wao, maana siku yao imewadia, wakati wao wa kuadhibiwa umefika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachomeni ng'ombe wao wote kwa mikuki, waanguke kwa kuchinjwa hivyo, Watapatwa na mambo, kwani siku yao inakuja, watakapopatilizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachinjeni mafahali wake wote; Na watelemkie machinjoni; Ole wao! Maana siku yao imewadia, Wakati wa kujiliwa kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwaue waaskari wake hodari; muache washukie kwenye machinjo. Ole kwao, maana siku yao imetimia, wakati wao wa kuazibiwa umefika!