Jeremiah 50:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikiliza! Wakimbizi na watoro kutoka nchi ya Babuloni wanakuja kutangaza huko Siyoni jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alivyolipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasikilizeni watoro na wakimbizi kutoka Babeli wakitangaza katika Sayuni jinsi Mwenyezi Mungu, Mungu wetu alivyolipiza kisasi, kisasi kwa ajili ya Hekalu lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti yao wakimbiao na kuokoka, Kutoka katika nchi ya Babeli, Ili kutangaza Sayuni kisasi cha Bwana, Mungu wetu, Kisasi cha hekalu lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikiliza! Wakimbizi na watoro kutoka nchi ya Babuloni wanakuja kutangaza huko Siyoni jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alivyolipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasikilizeni watoro na wakimbizi kutoka Babeli wakitangaza katika Sayuni jinsi BWANA, Mungu wetu alivyolipiza kisasi, kisasi kwa ajili ya Hekalu lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasikilizeni watoro na wakimbizi kutoka Babeli wakitangaza katika Sayuni jinsi bwana, Mungu wetu alivyolipiza kisasi, kisasi kwa ajili ya Hekalu lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti yao wakimbiao na kuokoka, Kutoka katika nchi ya Babeli, Ili kutangaza katika Sayuni kisasi cha BWANA, Mungu wetu, Kisasi cha hekalu lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikiliza! Wakimbizi na watoro kutoka nchi ya Babuloni wanakuja kutangaza huko Siyoni jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alivyolipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti zao walioitoka nchi ya Babeli kwa kukimbia mbio sana zinasikilika Sioni, wakiyatangaza malipizi ya Bwana Mungu wetu, jinsi alivyolilipizia Jumba lake takatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti yao wakimbiao na kuokoka, Kutoka katika nchi ya Babeli, Ili kutangaza Sayuni kisasi cha BWANA, Mungu wetu, Kisasi cha hekalu lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza! Wakimbizi na wenye kutoroka kutoka inchi ya Babeli wanakuja kutangaza huko Sayuni jinsi Yawe, Mungu wetu, alivyolipiza kisasi kwa ajili ya hekalu lake.